JINSI YA KUMILIKI BIASHARA YA SABUNI ZA UREMBO ZA ASILI ZENYE BRAND YAKO KWA MTAJI USIOZIDI ELFU 50,000 TU




Je, wewe una ndoto ya kumiliki biashara  yako ya sabuni za asili za urembo (yenye brand) kama vile sabuni za mchele, manjano, asali ukwaju, kahawa parachichi n.k na haujui ni jinsi gani unaweza kutimiza ndoto yako kwa urahisi zaidi? 

Kama jibu lako ni ndio basi ondoa shaka kwa kuwa katika makala hii nitakuonesha jinsi ya kumiliki biashara ya sabuni za uremmbo zenye brand yako kwa mtaji usiozidi ELFU HAMSINI (Sh 50,000) tu.  

Makala hii ni maalumu kwa watu wenye nia ya dhati ya kumiliki biashara ya sabuni za urembo hata kama wana mtaji mdogo. Kwa hiyo kama wewe  ni  mtu mwenye ndogo hiyo tafadhali soma makala hii hadi mwisho kwani na hakika utapata kitu cha kukuwezesha kuchukua hatua leo kuhusu fursha hii ya kukuwezesha kumiliki biashara ya sabuni za asili za urembo kwa mtaji mdogo sana.

Lakini kama wewe sio  miongoni mwa watu wa aina hiyo tafadahli usisome makala hii kwani haikuhusu endelea kufanya shughuli nyingine (USIPOTEZE MUDA WAKO). Ni matumaini yangu wewe sio miongoni mwa watu wa kupuuzia mambo kiasi hicho kwa hiyo naamini utaipitia Makala hii.


JE? KUNYUMBA SOAPS & SKIN CARE PRODUCTS NININI?

Kunyumba Soaps & Skin Care ni Kampuni ya mjasiliamai wa kitanzania ambayo inajihusisha  na utengezaji wa sabuni za aina mbalimbalimbali kama;-

  • Sabuni za kipande (sabuni za mchele, sabuni ya manjano, sabuni ya asali n.k
  • Sabuni za maji (hand wash, sabuni za chooni, sabuni za kufulia n.k
  • Shampoo za asili (za asali,parachichi, alovera,manjano n,k
  • Body lotion za asili (za asali ,alovera, mchele, parachichi, n.k)
  • Body cream za asili  (za asali ,alovera, mchele, parachichi, n.k)



Pamoja na kuzalisha bidhaa hizi kampuni yetu inatoa fursa kwa wajasiliamli wadogo wenye nia ya kumiliki biashara za namna hii hasa wale wenye mtaji mdogo. KAULI MBIU YETU INASEMA " TUNAWASAIDIA WAJASILIAMALI WADOGO KUMIMILIKI BIASHARA YA SABUNI ZA NA VIPODOZI VYA ASILI HATA KAMA WANA MTAJI MDOGO" Najua unashangaa kwa kauli mbiu hiyo kwa kuwa inawezekana ni mara chache sana umekutana na wafanya wamiliki wa viwanda wengi ambao wakikuta kuna mtu anajaribu kufanya biashara kama zao huwa wanawaletea vikwazo vingi vya kuwakwamisha ili kuwakatisha tamaa kwa kuhofia kuwa utawanyanga'anya wateja. 

NAKUHAKIKISHIA KUNYUMBA tunamaanisha kabisa kuwa tupo tayari kumsaidia mjasiliamali yeyote mwenye nia ya dhati ya kumiliki biashara yake yeye mwenyewe ya sabuni za asili na vipodozi hata kama ana mtaji mdogo wakuanzia. SISI TUNAAMINI KATIKA DHANA YA MYORORO WA DHAMANI AMBAPO KUPITIA DHANA HIYO TUNAAMINI KILA MUHUSIKA KATIKA MYORORO WA DHAMANI ANAPATA KULINGANA NA NGUVU ALIYOITUMIAKATIKA KUFANIKISHA BIASHARA HIYO HASA KWA WENYE BWAJASILIAMALI WADOGO.

TUNANAAMINI KUWA ILE DHANA YA KILA MMOJA KUTAKA KUANZA KWA KUFANYA KILA KITU NDIYO AMBAYO INAFANYA TASNIA YA WAJASILIAMALI WADOGO IBAKI IMEDUMAA KWA KUWA NI VIGUMU SANA KUWA NA MTAJI WA KUTOSHA KUMUWEZESHA MJASILIAMALI ANAYEANZA KUWA NA RASILIMALI ZA KUTOSHA KUFANYA KILA KITU. HIYO TUWAACHIE WAFANYBAISHARA WAKUBWA AMBAO WAN NGUVU YA FEDHA. 

SISI TUMEKUJA NA FORMULA AMBAYO INAWAWEZESHA WAJASILIAMLIA WADOGO WANAOTAKA KUMILIKI BIASHARA ZA SABUNI NA VIPODOZI VYA ASILI WAWEZE KUFANYA HIVYO BILA KUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA . (KWA ANAYETAKA KUANZA AWE ANGALAU NA TZS 50,000/= YA KUANZIA TENA HII SIYO YA KUJISAJILI SIJUI HAPANA  NI YA KUNUNUA BIDHAA ZAKE ZA KUANZIA BIASHARA) 

KWA NINI KUNYUMBA IMEKUJA NA UTARATIBU WA KUWASAIDIA WAJASILIAMLI WADOGO KWA NA MNA HII?

Ndugu zangu wahenga wansema aisiye mvua imemnyea. Kama ilivyo kwa wajasiliamali wengiwadogo ,  Kampuni ya Kunyumba imekutana na changamoto nyingi sana katika kuansisha biashara ya sabuni za aina mbalimbali ya vipodozi vya asili. Baadhi ya changamoto nilizokutana nazo ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1)   KUTOKUWA NA MTAJI WA KUTOSHA
  • Nilipokuwa naanza nilikuwa naorodheshewa vifaa vya kununua ambavyo kwa kiwango cha chini kabisa ilikuwa inanilazimu niwe na kama sh 150,0000 ili niweze kuanza biasha ya sabuni kwa huakikia (japo ilikuwa inawezekana niakaaza na mtaji mdogo wa chini ya hapo lakini changamoto yake ikawa ni kuwa mtaji unapokuwa mdogo basi na bidhaa zinakuwa chache. hivyo nikawa nakosa uaminifu kwa wateja wangu kwa kuwa mara nyingi nilikuwa nina upungufu wa bidhaa. Aidha nikawa siana uwezo wa kusupply mzigomkubwa kwa wakati mmoja
2) UKOSEFU WA MUDA 

Muda ulikuwa ni changamoto kubwa sana kwa kuwa kutokana na kuwa na mtaji kidogo na vifaa duni ilinilazimu kutumia muda mwingi sana kufanya uzalishaji hasa pale inapotokea kuna oda kubwa kiasi kwamba wakati mwingine ikiwa inanilazimu niwe nawaatumiabaadhi ya watu ambao nilikuwa naamnini kuwa wanaweza kunisaidia kufanya uzalishaji (kwa kuwalipa) lakini tofauti na nilivyokuwa naamini wengi wao walikuwa sio waaminifu kabisa nawapa fedha hawazalishi bidhaa kwa kiasi tulichokubaliana au wakizalisha wanauza bila kuwasilisha fedha kwa hiyo nikajikuta nawafanyia kazi watu (BAAADHI YA WATU WANANIGEUZA MTAJI)

Kutokana na changamoto hizo nikaweka nia kuwa lazima nimiliki kiwanda changu cha kutengeza sabuni na vipodozi vya asili ili niweze kuwa na uwezo wa kusimamia uzalishaji mie mwenyewe kwa kushirikiana na vijana niliowaajili na kuweza kuzalisha bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. NAMSHUKURU MUNGU NDOTO YANGU IMETIMIA. 

Baada ya kuanzisha kiwanda hicho kidogo nikabaini kuwa ni vizuri kuwa ni jambo jema sana kuwweza kuwashikisha fursa hii wajasiliamli wenzangu wadogo ambao inawezekana wanakutana na changamoto kama ambazo mie nimekutana nazo hadi kufikia hapa nilipofikia mie. Nikaja na utaratibu huu wa kuwawezesha kumiliki biashara ya sabuni na vipodozi vya asili kwa namna ambayo awahitaji kuwa na mtaji mkubwa (HATA MWENYE 50,0000 ANAANZA KUMILIKI BIASHARA YAKE).

DHUMUNI LETU ni kuhakikisha kuwa kwa mjasiliamli yeyote mwenye nia ya kweli ya kumiliki biashara yake aweze kufikia lengo lake kwa kuanza na  mtaji mdogo lakini ndani ya muda mfupi aweze kuwa na baishara kubwa naikiwezekana awe na kiwanda chake mwenyewe. 

TUMEBAINI KUWA  NI VYEMA SANA KUANZA KUFANYA MAJARIBIO YA BAISHARA KABLA YA KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA  EBU FIKIRIA NI HASARA GANI UNAWEZA KUPATA AU UMEKWISHAPATA KWA KUNUNUA MASHINE / VIFAA VYA DHAMANI HALAFU UKAJA KUKUTA BIASHARA ULIYOINGIA HAILIPI KAMA ULIVYOKUWA UNAFIKIRIA. SISI TUNAKUPA FURSA YA KUFANYA MAJARIBIO KWA KUKUWEZESHA KUINGIA SOKONI BILA KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KISHA UKISHAONA SASA UNA UHAKIKA NA SOKO NA KUWA BIASHARA INALIPA NDIO UNAINGIA KWENYE UWEKEZAJI 

NAMNA AMBAVYO TUNAWASAIDIA WAJASILIAMALI WENYE NIA YA KUMILIKI BIASHARA ZAO WENYE ZA SABUNI NA VIPODOZI VYA ASILI 

Kwa ujumla utaratibu tunaotumia sisi (ambao umewasaidia wajasiliamali wengi) ni wa kuwauzia sabuni kwa bei rahisi sana ili wao wanapoedna kuziuza waweze kupata faida kubwa kwa mfano kipande kimoja cha sabuni ya mchele au manjano ambayo kwenye soko inauzwa kati ya Tsh 1,500 hadi 5,000 (inategemeana na aina ya wateja, sisi tunamuuzia mjasiliamali kwa kati ya Tsh 750, hadi 1,000 kutegemeana na idadi ya sabuni anazonunua kama ifuatavyo;-
  • Kwa anayenunua sabuni vipande kuanzia 20 hadi 100 = tunamuuzia Tsh, 1,000 kwa kila kipande
  • anayenunua viapnde kuanzia 101 hadi 2000 tunamuuzia kwa Tsh, 900 kwa kila kipande
  • anayenunua viapande kati ya 201 hadi 500 tunamuuzia kwa Tsh. 800 kwa kila kipande
  • anayenunua vipande kuanzia 501 na kuendelea tunamuuia kwa Tsh. 7000kwa kila kipande
Maana yake ni kwamba kwa mtu ambaye anaanza na Sh. 50,000 anapata vipande 50 (50,000/1,000= 50). Yenye akienda kuviuza kwa bei ya chini sema 1,500  kwa kila kimoja (jampo najua wengi wanauza zaidi ya bei hiyo) maana yake anapata Ths 75,000 (1,500 x 50 = 75,000)  ikiwa ni faida ya Tsh. 15,000 

KAMA UPO TAYA KUANZA SAFARI YA KUMILIKI BIASHARA YAKO YA SABUNI ZA UREMBO ZA ASILI NA VIPODOZI BOFYA LINKI HII BOFYA HAPA SASA 

JINSI GANI SASA UNAIFANYA HIYO BIASHARA KUWA YA KWAKO?
ili kuwawezesha wajasiliamali kuwa na biashara zao, tunaruhusu pia kwa anayetaka kutumia brand yake yeye mwenyewe YAANI LEBO YAKE KABISA HIYO LEBO TUNAKUTENGEZEA SISI WENYEWE KWA GHARAMA NAFUU KABISA PANOJA NA KUPRINTI YAANI WEWE TUNAKULETA BIDHAA AMBAYO INALEBO YAKO KABISA

NA TUNASHAURI KWA WALE WENYE NIA YA DHATI YA KUMILIKI BIASHARA ZAO NI VIZURI WAKAANZA NA BRAND ZAO KWA KUWA INAWAPA FURASA YA KUJENGA JINA LAO LABAISHARA HATA INAPOFIKA WAKATI WANATA KUANZISHA VIWANDA VYAO WENYEWE INAWAIA RAHISI SANA KWANI TAYARI ANAKUWA ANA JINA LAKE AMBALOLIMEKWISHA JULIKANA. 

KAMA UNAONA USHAURI ULIPO KWENYE MAKALA HII  UNAMASHIKO TAFADAHLI BOFYA HAPA SASA  AU USISITE KUWASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0752026763 AU 


MUHIMU SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WATU WOTE AMBAO UNAWAPENDA NA UNGEPENDA WAPATE MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAO. 
"TANZANIA YA VIWANDA ITAWEZEKANA KAMA TU KILA MMOJA ATAHAKIKISHA KUWA NDOTO ZAKE ZA BIASHARA ANAZIFANYIA KAZI IPASAVYO BILA KUSITA SITA UBARIKIWE SANA"

John Mwingira

Mkurugenzi Mtendaji - Kunyumba Soaps & Skin Care Products

simu: 0752026763



   




Maoni

  1. Natürliche Schönheit ist eine zeitlose und faszinierende Kraft, die kulturelle Grenzen und gesellschaftliche Standards überschreitet. Es ist die Authentizität von Landschaften, die Anmut unberührter Ökosysteme und der inhärente Reiz schmuckloser Individuen. Ob in der majestätischen Erhabenheit unberührter Wildnis oder in der Einfachheit eines echten Lächelns, die natürliche Schönheit von Nu Business besitzt die einzigartige Kraft, Ehrfurcht und Wertschätzung hervorzurufen.

    JibuFuta
  2. Thanks for sharing about Natural Skin Care. Keeping up with your skin care regimen can help you feel more fulfilled and organised in your daily life, as well as combat negative thoughts and promote awareness. You can also check out about cosmetic products suppliers in india here.

    JibuFuta
  3. What a nice blog, buy best quality glupatone at best price in pakistan from flyingcart.pk.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HATUA NNE MUHIMU ZA KUFUATA ILI UWEZE KUANZA KUINGIZA FAIDA YA SHILINGI LAKI TANO KILA MWEZI KUPITIA BIASHARA YA SABUNI ZA ASILI