Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2021

HATUA NNE MUHIMU ZA KUFUATA ILI UWEZE KUANZA KUINGIZA FAIDA YA SHILINGI LAKI TANO KILA MWEZI KUPITIA BIASHARA YA SABUNI ZA ASILI

Picha
  Kama wewe ni miongoni  wahitimu/ wanafunzi wa elimu ya juu ambaye una ndoto ya kumiliki biashara ambayo itakuwa inakupatia faida ya kuanzia silingi laki tano au zaidi kila mwezi, una karibishwa sana kusoma makala hii hadi mwisho. Kwani kupitia makala hii nitakuonesha HATUA TANO MUHIMU ZA KUFUATA ILI UWEZE KUTENGEZA FAIDA YA TZS 500,00/ KILA MWEZI KUPITIA BIASHARA YA SABUNI ZA ASILI.  Kabla ya kukuleza hatua hizo muhimu za kufuata naomba nianze kwa ufupi sana nikueleze ninaposema sabuni za asili ninamaanisha kitu gani? Sabuni za Asili ni Nini?  Hizi ni sabuni ambazo zina viambato (ingredients) vitokanavyo na mimea ya asili ambyo huzifanya sabuni hizo kuwa na uwezo wa kufanya ngozi iwe na muonekan mzuri bila kuiathri. Najua wengi wenu hasa akina dada (wanawake) mtauwa mmesikia kuhusu sabuni za mchele, manjano ukwaju, kahawa n.k. zote hizi ndio zinajulikana kama sabuni za asili.  Sabuni hizi hutumiwa na watu kwa sababu mbalimbali kama vile kungarisha mwili (kufan...