Je, wewe una ndoto ya kumiliki biashara yako ya sabuni za asili za urembo ( yenye brand) kama vile sabuni za mchele, manjano, asali ukwaju, kahawa parachichi n.k na haujui ni jinsi gani unaweza kutimiza ndoto yako kwa urahisi zaidi? Kama jibu lako ni ndio basi ondoa shaka kwa kuwa katika makala hii nitakuonesha jinsi ya kumiliki biashara ya sabuni za uremmbo zenye brand yako kwa mtaji usiozidi ELFU HAMSINI (Sh 50,000) tu . Makala hii ni maalumu kwa watu wenye nia ya dhati ya kumiliki biashara ya sabuni za urembo hata kama wana mtaji mdogo. Kwa hiyo kama wewe ni mtu mwenye ndogo hiyo tafadhali soma makala hii hadi mwisho kwani na hakika utapata kitu cha kukuwezesha kuchukua hatua leo kuhusu fursha hii ya kukuwezesha kumiliki biashara ya sabuni za asili za urembo kwa mtaji mdogo sana. Lakini kama wewe sio miongoni mwa watu wa aina hiyo tafadahli usisome makala hii kwani haikuhusu endelea kufanya shughuli nyingine (USIPOTEZE MUDA WAKO). Ni ma...
Kama wewe ni miongoni wahitimu/ wanafunzi wa elimu ya juu ambaye una ndoto ya kumiliki biashara ambayo itakuwa inakupatia faida ya kuanzia silingi laki tano au zaidi kila mwezi, una karibishwa sana kusoma makala hii hadi mwisho. Kwani kupitia makala hii nitakuonesha HATUA TANO MUHIMU ZA KUFUATA ILI UWEZE KUTENGEZA FAIDA YA TZS 500,00/ KILA MWEZI KUPITIA BIASHARA YA SABUNI ZA ASILI. Kabla ya kukuleza hatua hizo muhimu za kufuata naomba nianze kwa ufupi sana nikueleze ninaposema sabuni za asili ninamaanisha kitu gani? Sabuni za Asili ni Nini? Hizi ni sabuni ambazo zina viambato (ingredients) vitokanavyo na mimea ya asili ambyo huzifanya sabuni hizo kuwa na uwezo wa kufanya ngozi iwe na muonekan mzuri bila kuiathri. Najua wengi wenu hasa akina dada (wanawake) mtauwa mmesikia kuhusu sabuni za mchele, manjano ukwaju, kahawa n.k. zote hizi ndio zinajulikana kama sabuni za asili. Sabuni hizi hutumiwa na watu kwa sababu mbalimbali kama vile kungarisha mwili (kufan...
Maoni
Chapisha Maoni